FREE · TANZANIA · TZS

Biashara yako ina thamani ya kiasi gani?

Pata makadirio ya haraka kwa TZS ukitumia mapato, faida, recurring revenue, ukuaji na kiwango ambacho biashara inakutegemea wewe.

Anza Kukadiria Bure • Dakika 3 • Hakuna taarifa za benki
3valuation ranges
0–100business value score
5growth recommendations
Makadirio ya mfano LIVE

Thamani inayowezekana

TZS 185M – 268M

Value Score 74/100
74
  • Recurring revenue inaongeza multiple
  • ! Owner dependence bado iko juu
  • + Client diversity inaweza kuongeza value

Imeundwa kwa biashara za Tanzania:

Digital Agencies AI & Automation Service Businesses Retail Manufacturing
HATUA 1 YA 2

Ingiza taarifa za biashara yako

Tumia wastani wa miezi 6–12 ili kupata matokeo yenye maana zaidi.

01

Fedha za biashara

Taarifa za msingi zinazobeba uzito mkubwa.

02

Ukuaji na ubora

Hizi ndizo zinazosukuma multiple juu au chini.

HOW IT WORKS

Tunaangalia biashara kama mnunuzi

01

Profitability

Tunakadiria Seller’s Discretionary Earnings — faida halisi pamoja na owner benefits.

02

Recurring Revenue

Mapato yanayorudia hupunguza risk na yanaweza kuongeza valuation multiple.

03

Risk & Growth

Tuna-adjust kwa growth, churn, owner dependence, client concentration na years in business.

FAQ

Maswali ya kawaida

Je, hii ndiyo bei nitakayouza biashara yangu?

Hapana. Hii ni educational estimate. Bei halisi hutegemea due diligence, quality ya records, strategic value na negotiation.

Seller’s Discretionary Earnings ni nini?

Ni faida ya biashara pamoja na mshahara wa mmiliki na gharama binafsi zinazoendeshwa kupitia biashara.

Kwa nini recurring revenue inaongeza thamani?

Kwa sababu inafanya mapato ya kesho yawe rahisi kutabiri na kupunguza risk kwa mnunuzi.